1 min read LOCAL NEWS NEWS KISWAHILI KUTUMIKA (A.U.) Lugha ya Kiswahili imechaguliwa kuwa lugha rasmi kutumika katika mikutano yote itakayoendeshwa na Umoja wa Afrika (AU).