MADEREVA WAKILISHI WA PWANI

Mbio za Magari za Dunia kwa jina maarufu – Safari Rally zitaandaliwa wiki ijayo Juni 24 hadi 27.
 
Eneo la Pwani Kenya litawakilishwa na madereva wanne.
 
Madereva hao ni Sohanjeet Singh Puee kutoka timu ya Nanak, Paras Pandya anayewakilisha timu yaSynergy Gases, Izhar Mirza kutoka timu ya Coast Pekee Racing na Piero Canobbio kutoka kaunti ya Kilifi.