Waendeshaji wa Tuk-tuk katika Kaunti ya Mombasa wanapinga vikali dhidi ya sera mpya iliyoletwa ambayo imewafanya baadhi yao kunyimwa leseni za kufanya kazi.
Afisa wa utekelezaji wa Kaunti ya Mombasa katika ofisi ya ukaguzi Inspekta Ibrahim Basafar alisema kuwa kaunti hiyo imeanza sera mpya ya kuzuia uhalifu unaofanywa na madereva wa tuk-tuk ndani ya Kaunti hiyo.
Bwana Basafar alielezea kuwa hatua hii itasaidia kaunti katika kupanga, kudhibiti uhalifu na kuhakikisha kuwa waendeshaji wa tuk-tuk wako Saccos kama magari mengine ya huduma ya umma.
More Stories
Mwanahabari Mkongwe Leonard Mambo Mbotela Aapishwa
“Nimewasikia wakijaribu kusema wana idadi fulani, kwa hakika, kama huwezi hata kupata mgombea wa spika wa Seneti, una idadi gani?” Rais Ruto